pata quizzes zinazokusaidia kuelewa na kuzoea maswali ya Fasihi Simulizi (methali, hadithi, ngonjera) na Fasihi Andishi (riwaya, tamthilia, hadithi fupi). Kila quiz huja na maoni ya kitaaluma kuhusu majibu bora, mbinu za kujibu, na uboreshaji wa alama.
